Kiyale cha Kosarek

(Elekezwa kutoka Kiyale ya Kosarek)

Kiyale-Kosarek ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wayale. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiyale-Kosarek imehesabiwa kuwa watu 2300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyale-Kosarek iko katika kundi la Kimek.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyale cha Kosarek kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.