Kiyamdena
Kiyamdena ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wayamdena kwenye visiwa vya Tannembar, Yamdena na Selaru. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiyamdena imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyamdena iko katika kundi la Kimaluku.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiyamdena kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyamdena
- lugha ya Kiyamdena katika Glottolog
- lugha ya Kiyamdena kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyamdena kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |