Kiyelmek ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wayelmek. Mwaka wa 1978 idadi ya wasemaji wa Kiyelmek imehesabiwa kuwa watu 400, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiyelmek iko katika kundi la Kipapua ya Kusini-Kati.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyelmek kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.