Kiyeni ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun iliyozungumzwa na Wayeni. Hakuna watu wawezao kuzungumza lugha ya Kiyeni. Kinachobaki na lugha hiyo ni wimbo mmoja uliokumbukwa na Wakwanja. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyeni iko katika kundi la Kimambiloidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyeni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.