Kiyidgha ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wayidgha. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiyidgha imehesabiwa kuwa watu 6150. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiyidgha kiko katika kundi la Kipamir.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyidgha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.