Kiyoke ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wayoke. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kiyoke imehesabiwa kuwa watu 200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiyoke iko katika kundi la Kimamberamo ya Chini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyoke kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.