Kiyukuben

Kiyukuben ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wayukuben. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiyukuben nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 15,000. Pia kuna wasemaji 950 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyukuben iko katika kundi la Kijukunoidi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyukuben kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.