Kizaghawa ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Sudan inayozungumzwa na Wazaghawa. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kizaghawa nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 87,000. Pia kuna wasemaji 75,000 nchini Sudan (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizaghawa iko katika kundi la Kisahara-Mashariki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizaghawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.