Kizorop (au Kiyafi) ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wazorop. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kizorop imehesabiwa kuwa watu 230, na wengi wameanza kuacha lugha yao, yaani Kizorop iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizorop iko katika kundi la Kipauwasi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizorop kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.