Open main menu

Kizota ni jina la kata ya Dodoma Mjini katika Mkoa wa Dodoma , Tanzania yenye msimbo wa posta 41114[1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 34453 [2] waishio humo.

Kata hiyo ina shule za msingi nyingi.

Kulikuwa na tatizo la umeme kwenye nyumba, lakini sasa limetatuliwa.

Mwaka 2016 huko alizaliwa mtoto mwenye kisogo mbele.

MarejeoEdit