Open main menu

Mtumba ni jina la kata ya Dodoma Mjini katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17268 [1] waishio humo.

Makao makuu ya serikaliEdit

Eneo la Mtumba limechaguliwa kuwa na majengo ya makao makuu mapya ya serikali ya Tanzania. [2]. Eneo lililoandaliwa lina hektari 617 na wizara zote zimeshapokea viwanja mnamo Aprili 2019.[3]

MarejeoEdit