Kizo

(Elekezwa kutoka Kizou)

Kizo (au Kizou nchini Uhindi) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uhindi inayozungumzwa na Wazo. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kizo nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 61,000. Pia kuna wasemaji 20,900 nchini Uhindi (2001). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizo iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.