Kjell Wätjen

Mchezaji mpira wa Ujerumani

Kjell-Arik Wätjen (alizaliwa 16 Februari 2006) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani.[1]

Marejeo

hariri
  1. UEFA.com. "Germany-Scotland | UEFA Under-17 2023". UEFA.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kjell Wätjen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.