Klay Thompson
mchezaji wa mpira wa kikapu wa marekani(kuzaliwa 1990)
Klay Alexander Thompson (alizaliwa 8 Februari 1990)[1] ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea Marekani anayeichezea timu ya Golden State Warriors katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu (NBA).
Inasemekana kwamba Klay ni mmoja kati ya wafungaji bora kwenye kurusha mpira kapuni katika historia ya Chama cha taifa cha mpira wa Kikapu(NBA) huko Marekani. [2] [3] Klay alifanikiwa kushinda mara tatu na timu ya Golden State Warriors tuzo ya timu bora ya Chama cha taifa cha mpira wa kikapu(NBA). Amefanikiwa kuteuliwa katika timu ya mastaa marekani kwa mara tano.
Tanbihi
hariri- ↑ https://wsucougars.com/roster.aspx?rp_id=2318
- ↑ https://www.news.com.au/sport/american-sports/nba-klay-thompsons-60-points-the-insane-stats-and-the-warriors-myth-his-epic-performance-busted/news-story/e8ca1c30cff33d036ffea64cd453c276
- ↑ https://www.sfchronicle.com/warriors/article/Klay-Thompson-on-shooting-slump-I-don-t-13493942.php
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Klay Thompson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |