Kobe, Hyogo

Mji wa Kobe, Hyogo

Kobe (神戸市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Hyogo. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 1.5 wanaoishi katika mji huu.

Jiji la Kobe
Bendera ya Jiji la Kobe
Bendera
Nchi Japani
Kanda Kansai
Mkoa Hyogo
Idadi ya wakazi
 - 1,536,125
Tovuti: www.city.kobe.lg.jp

Tazama piaEdit

 
Kobe Port

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kobe, Hyogo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.