Nara, Nara
mji wa Japani, mji mkuu wa Jimbo la Nara
Nara (奈良市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Nara. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 366 000 wanaoishi katika mji huu.
Nara | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Kansai | ||
Mkoa | Nara | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 365 796 | ||
Tovuti: www.city.nara.nara.jp |
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 8 Oktoba 2003 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nara, Nara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |