Kochi, Kochi

Japani, mji mkuu wa mkoa wa Kōchi

Kochi (高知市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Kochi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 340 000 wanaoishi katika mji huu.

Mji wa Kochi








Kochi
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi Japani
Kanda Shikoku
Mkoa Kochi
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 340 957
Tovuti:  www.city.kochi.kochi.jp

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kochi, Kochi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.