Shikoku (四国) ni kisiwa kikubwa cha tatu nchini Japani na kisiwa cha kusini kati ya visiwa vikubwa vinne vya nchi. Neno shikoku lamaanisha "mikoa nne" iliyohesabiwa zamani kisiwani.

Mahali pa Shikoku katika Japani
Shikoku

Idadi ya wakzi ilikuwa 4,128,476 mnamo mwaka 2006.

Miji muhimu ni Matsuyama, Takamatsu, Kochi na Tokushima.

Mkoa ya Shikoku ni Ehime, Kagawa, Kochi na Tokushima.

Tazama pia

hariri