Kokaku (23 Septemba 177111 Desemba 1840) alikuwa mfalme mkuu wa 119 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Morohito. Mwaka wa 1780 alimfuata mfalme mkuu Go-Momozono, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 7 Mei 1817. Aliyemfuata ni mwana wake, Ninko.

Mchoro wa Kōkaku

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kokaku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.