Krépin Diatta
Krépin Diatta (alizaliwa 25 Februari 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Senegal, ambaye anacheza kama winga katika klabu ya AS Monaco na timu ya taifa ya Senegal.
Marejeo
hariri- ↑ "Krépin Diatta - Soccer player profile & career statistics - Global Sports Archive". globalsportsarchive.com. Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Krépin Diatta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |