Krefeld
Krefeld ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Rhine. Idadi ya wakazi wake ni takriban 235,414. Mji ulianzishwa 1105.
Krefeld | |||
|
|||
Lua error in Module:Location_map at line 388: The value "<strong class="error">Expression error: Unexpected / operator.</strong>" provided for longitude is not valid.Mahali pa mji wa Krefeld katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 51°20′N 6°34′E / 51.333°N 6.567°E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Majimbo | Rhine Kaskazini-Westfalia | ||
Idadi ya wakazi (2009) | |||
- | 235,414 | ||
Tovuti: www.krefeld.de |
Tazama piaEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Krefeld kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |