Kristine Hermosa
Kristine Hermosa Orille (Amezaliwa tar. 9 Septemba 1983 mjini Quezon City, Ufilipino) ni mwigizaji maarufu kutoka nchi Ufilipino. Hermosa alizaliwa na matabaka mawili, mama yake ni mwispania , baba yake ni mfilino.
Kristine Hermosa | |
---|---|
Kristine Hermosa akiwa katika Tamasha la Ziara ya Star Magic huko mjini Ontario mnamo Juni 2009. | |
Amezaliwa | Kristine Hermosa Orille 9 Septemba 1983 |
Utaifa | Hispania/Ufilipino |
Asili yake | Masbate, Ufilipino |
Kazi yake | Mwigizaji, mwanamitindo |
Miaka ya kazi | 1996–2011; 2016–hadi sasa |
Wakala | Star Magic (1996-2010) GMA Artist Center (2016-hadi sasa) |
Anajulikana kwa ajili ya | Pangako Sa 'Yo Sana'y Wala Nang Wakas Dahil May Isang Ikaw |
Ndoa | Diether Ocampo (m. 2004–2005) Oyo Sotto (m. 2011–present) |
Watoto | 3 |
Hermosa pia ana dada yake aitwae Kathleen, ambaye aliyekuwa na shauku ya kuwa nyota wa ‘’ABS-CBN’’. Ingawaje, dada yake Hermosa alifeli kumvutia mwamuzi katika uchgauzi wa kwanza wa wasanii, badala yake akachaguliwa mdogo wake mrembo mwenye sura ya kuvutia iliopelekea mwamuzi kumchagua, ni Kristine Hermosa, aliyechaguliwa kuwa msanii wa ‘’ABS-CBN’’.
Ilifikiriwa kuwa ni msanii mwingine tena mdogo mwenye urembo safi, aliyepatia umaarufu wake katika tamthlia ya "Pangako Sa 'Yo" (Kwa kiing The Promise) ambayo ndio iliomjengea umaarufu mkubwa sana kwa kuigiza kama mpenzi wake Angelo Buenavista (Jericho Rosales) ambaye baadae alikua kuwa mpenzi wake wa kweli wa katika maishani.
Miaka ya mwanzo kabla Kristine kuwa maarufu, aligiiza kama Baron Geisler katika tamhilia ya Nagbibinata. Baadae, alishriki katika mchezo mmoja wa kuigiza uliojulikana kwa jina la "Sa Sandaling Kailangan Mo Ako", mchezo huo ulikuwa ukionyesha kila siku za wiki, huku akiwa sambamba kabisa na mwigizaji mwenzake bwana Marvin Agustin.
Filamu alizoingiza
haririVipindi vya Televisheni
haririMwaka | Jina la Filamu | Jina aliotumia |
---|---|---|
2007 | Abs-Cbn Interactive, Kristine: No time for boys;'A Love Story' is top-grosser Prinsesa ng Banyera Archived 2007-07-09 at Archive.today | Maningning |
2007 | Sineserye Presents Palimos_ng_Pag-ibig#Mfululizo wa katika TV | Ditas |
2007 | Love Spell | Wena Eugenio |
2006 | Gulong ng Palad | Luisa |
2005 | Til Death Do Us Part' | Isabelle |
2003-2004 | Sana'y Wala Nang Wakas | Arabella Grace Garcia |
2002-2002 | Pangako sa 'Yo | Ynamorata 'Yna' Macaspac |
1998 | Sa Sandaling Kailangan Mo Ako | Agnes |
1996 | Gimik | Tintin Fernandez |
Filamu
haririMwaka | Jina la Filamu | Jina aliotumia |
---|---|---|
???? | Big Love | TBA |
???? | Enteng Kabisote 4 | Faye |
2006 | Okey_Ka_Fairy_Ko | Faye |
2006 | Wag Kang Lilingon | Angel |
2005 | Okey_Ka_Fairy_Ko | Faye |
2004 | Okey_Ka_Fairy_Ko | Faye |
2004 | Bcuz of U | Ria |
2004 | All My Life | Louie |
2003 | Ngayong Nandito Ka | Garie |
2002 | Forevermore | Marian |
2001 | Dugong Aso: Mabuting Kaibigan, Masamang Kaaway | Unknown |
2001 | Trip]' | Celine |
2001 | Hostage | Gina |
2000 | Pera o bayong | Herself |
1999 | Mahal na kung mahal | Chrissie |
1999 | Gimik: The Reunion | Tintin Fernandez |
1998 | Sa Sandaling Kailangan Mo Ako | Agnes |
1998 | Nagbibinata | Unknown |
Mengineyo
haririMwaka | Jina | Jina alilotumia |
---|---|---|
2006 | MTV Pilipinas Music Video Award 2006 | Kristine Hermosa |
2004 | Understatement: The Bench Underwear and Denim Fashion Show | Kristine Hermosa |