Kukundisha kwa Muench

Katika utarakilishi, kukundisha kwa Muench (kwa Kiingereza: Muenchian grouping au XSLT) ni kanuni inayotumika ili kupanga makundi ya data kwenye XSL Transformations v1.

Mchoro wa kukundisha kwa Muench

Kukundisha kwa Muench kuliumbwa na Steve Muench.

Mfano wa kukundisha hariri

Chini upo mfano wa kukundisha kwa Muench kwa lugha ya programu xslt.

<xsl:key name="products-by-category" match="product" use="@category"/>

<xsl:template match="/">

  <xsl:for-each select="//product[count(. | key('products-by-category', @category)[1]) = 1]">
    <xsl:variable name="current-grouping-key"
                  select="@category"/>
    <xsl:variable name="current-group"
                  select="key('products-by-category',
                              $current-grouping-key)"/>
    <xsl:for-each select="$current-group">
       <!-- processing for elements in group -->
       <!-- you can use xsl:sort here also, if necessary -->
    </xsl:for-each>
  </xsl:for-each>

</xsl:template>

Marejeo hariri

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.