Kunakili na kubandika

Makala hii kuhusu "Kunakili na kubandika" inatumia neno au maneno ambayo si ya kawaida; matumizi yake ni jaribio kwa jambo linalotajwa.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

Katika utarakilishi, kunakili na kubandika (kwa Kiingereza: copy and paste) ni amri ya tarakilishi inayowezesha kuhamisha data au nakala.

Nembo ya kukata, kunakili na kubandika kwenye ERP5.

Kukata na kubandika (cut and paste) ni amri nyingine tofauti.

Marejeo

hariri
  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.