Kupe (maana)

(Elekezwa kutoka Kupe)

Kupe ni jina linaloweza kumaanisha:

  • Aina ya mdudu (kupe (arakinida))
  • Aina ya samaki (kupe (samaki))
  • Kuna msemo pia unaosema 'usiwe kupe'. Katika lugha ya Kiswahili, kupe ni jina linaloashiria mnyama au hata mtu anayefyonya damu ya mwingine au kumtegemea vibaya kwa kila kitu. Kando na kupe anayenyonya ng'ombe, kupe anaweza kuwa mtu au mdudu anayeharibu mmea au mnyama kwa kumnyonya na kumtegemea hadi akapata maradhi au kufa. Mnyama wa aina hii huitwa 'pest' au 'parasite' kwa lugha ya Kiingereza.

Viungo vya nje

hariri
 
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.