Kuzingirwa kwa Massilia (413)

vita vya kijeshi mnamo 413 dhidi ya jiji la Kirumi la Massilia, wakati wa uvamizi wa Visigoths huko Gallia Narbonensis.

Massilia (413) ilifanywa na Wagothi dhidi ya mji wa Kirumi wa Massilia, Gallia Narbonensis mnamo mwaka 413. Wakati wa kampeni yake katika kusini mwa Gaul, mfalme wa Wagothi Ataulf aliteka Toulouse na Narbonne na kisha akazingira Massilia. Mji huo ulilindwa na jenerali mahiri wa Kirumi Bonifacius. Ataulf alishindwa kuuteka Massilia, na baadaye akafanya amani na Kaisari Honorius. Kwa kumuoa dada yake Galla Placidia. Baadaye Ataulf alitumwa kuurejesha Hispania kwa himaya ya Kirumi.

Vyanzo

hariri
  • Jaques, Tony (2007). Dictionary of Battles and Sieges: F-O. Greenwood Publishing Group. ISBN 978-0313335389.
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kuzingirwa kwa Massilia (413) kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.