Marseille
(Elekezwa kutoka Massilia)
Marseille (kwa Kioksitania: Marselha) ndiyo mji mkuu wa mkoa wa Provence-Alpes-Côte d'Azur, kusini mwa Ufaransa.
Jiji la Marseille | |
Mahali pa mji wa Marseille katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 43°17′47″N 5°22′12″E / 43.29639°N 5.37000°E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Provence-Alpes-Côte d'Azur |
Wilaya | Bouches-du-Rhône |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 855,393 |
Tovuti: www.marseille.fr |
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2013, mji una wakazi wapatao milioni 1.7 wanaoishi katika mji huu.
Mji uko mita 0-640 juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 21 Februari 2016 kwenye Wayback Machine. (Kifaransa)
- Official tourism website
- Photographs of Marseille Ilihifadhiwa 26 Julai 2007 kwenye Wayback Machine.
- Interactive virtual tour Ilihifadhiwa 7 Februari 2016 kwenye Wayback Machine.
- Metro public transport Ilihifadhiwa 4 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine.
- AncientWorlds.net Massilia
- Extensive Creative Commons phototeque of Marseille and its environs Ilihifadhiwa 10 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Marseille kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |