Kylie Margaret Cockburn ( alizaliwa 1 Desemba 1988) ni mwamuzi msaidizi wa mpira wa miguu katika Ligi ya Soka ya Uskoti. Alijulikana zaidi katika vyombo vya habari alipokuwa mwamuzi wa kwanza wa mpira wa miguu mwanamke katika mechi ya ligi kuu ya soka nchini Uskoti mwaka 2014. [1]

Kylie Margaret Cockburn mnamo 2015

Maisha ya awali na kazi

hariri

Alilelewa na kukulia katika mji wa Baillieston, [2] Cockburn alikuwa na matamanio ya kuwa mchezaji wa soka tangu alipokua mdogo, na baadae alichezea timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Uskoti katika ngazi ya vijana [3]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kylie Cockburn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.