LB IV Life
LB IV Life ni jina la kutaja albamu ya mwisho kutolewa na kundi zima la muziki wa hip hop la Lost Boyz. Mwanachama mwenzao Freaky Tah aliuawa miezi sita kamili kabla ya kutolewa kwa albamu, lakini amefanya mionekano kadhaa kwenye albamu. Albamu imeanguka kibiashara na hata kitahakiki, imeshindwa kufikia kiwango cha Dhahabu, pia imeshindwa kutengeneza kibao kikali cha albamu. Hiyo imepelekea MC Mkuu Mr. Cheeks kuendeleza kazi za kujitegemea baada ya kutoka.
LB IV Life | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Lost Boyz | |||||
Imetolewa | 28 Septemba 1999 | ||||
Imerekodiwa | 1998-1999 | ||||
Aina | Hip Hop | ||||
Urefu | 66:03 | ||||
Lebo | Uptown Records | ||||
Mtayarishaji | Dwayne Lindsey Mr. Sexxx Alex Andino Jr. Ralph Lo Charles Suitt Dre Most DJ Rob D2 Ron G Mr. Pito Glenn SON Faide |
||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Lost Boyz | |||||
|
Orodha ya nyimbo
hariri# | Jina | Watayarishaji | Waimbaji |
---|---|---|---|
1 | "Freaky Tah Intro" | Dwayne Lindsey | Freaky Tah, DJ Spigg Nice |
2 | "Let's Roll Dice" | Mr. Sexxx, Alex Andino Jr. | Mr. Cheeks, Freaky Tah |
3 | "We Got That Hot Shit" | Mr. Sexxx | Mr. Cheeks, L.G. |
4 | "Ghetto Jiggy" | Ralph Lo | Mr. Cheeks, Freaky Tah |
5 | "Interlude" | Charles Suitt | *Interlude* |
6 | "Take A Hike [One]" | Dre Most | Mr. Cheeks, Freaky Tah |
7 | "5 A.M." | Mr. Sexxx, Alex Andino Jr. | Mr. Cheeks, L.G., QB |
8 | "Risin' To The Top [No Stoppin' Us]" | Mr. Sexxx | Mr. Cheeks |
9 | "Only Live Once" | Ralph Lo | Mr. Cheeks, Street Connect, Izzy Dead |
10 | "Cheese" | DJ Rob | Mr. Cheeks, Freaky Tah |
11 | "Radio Interlude" | Dwayne Lindsey | *Interlude* |
12 | "Plug Me In" | Ralph Lo, D2 | Mr. Cheeks |
13 | "New York City War Call" | Ron G | Mr. Cheeks |
14 | "Can't Hold Us Down" | Ralph Lo | Mr. Cheeks |
15 | "Colabo" | DJ Rob, Mr. Pito | Queens Most Wanted, J-N-J |
16 | "Ghetto Lifestyle" | Ralph Lo | Mr. Cheeks |
17 | "LB Fam 4 Life" | Glenn SON Faide | Mr. Cheeks, J-N-J |
18 | "Freaky Tah Outro" | Glenn SON Faide | Freaky Tah |
Nafasi za Chati za Albamu
haririMwaka | Albamu | Chati | ||
Billboard 200 | Top R&B/Hip Hop Albums | |||
1999 | LB IV Life | #32 | #8 |
Makala hii kuhusu albamu za hip hop za miaka ya 1990 bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |