The Lost Boyz
(Elekezwa kutoka Lost Boyz)
The Lost Boyz lilikuwa kundi la muziki wa hip hop kutoka mjini South Jamaica, Queens, New York, Marekani. Kundi lilikuwa likiongozwa na MC Mr. Cheeks, MC mdakiaji na promota Freaky Tah (1971–1999), DJ Spigg Nice, na Pretty Lou. Pia, wao ndiyo waanzilishi wa LB fam kutoka mjini South Jamaica, Queens.
Lost Boyz | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Asili yake | Queens, New York, Marekani |
Aina ya muziki | Hip hop |
Miaka ya kazi | 1995–1999 |
Studio | Uptown, Universal, Contango |
Wanachama wa sasa | |
Mr. Cheeks Freaky Tah DJ Spigg Nice Pretty Lou |
Shughuli za sanaa
haririMuziki
haririAlbamu
haririMaelezo ya Albamu |
---|
Legal Drug Money |
Love, Peace & Nappiness |
LB IV Life
|
Lost Boyz Forever |
Single
haririMwaka | Single | Nafasi iliyoshika | Albamu | ||
---|---|---|---|---|---|
U.S. Hot 100 | U.S. R&B | U.S. Rap | |||
1995 | "Lifestyles Of The Rich & Shameless" | 91 | 60 | 10 | Legal Drug Money |
"Jeeps, Lex Coups, Bimaz & Benz" | 67 | 63 | 11 | ||
1996 | "Renee" | 33 | 13 | 3 | |
"Music Makes Me High" | 51 | 28 | 5 | ||
1997 | "Get Up" | 60 | 31 | al | |
"Me & My Crazy World" | 52 | 23 | 5 | Love, Peace & Nappiness |
Viungo vya Nje
hariri- Allmusic page
- "Lifestyles Of The Rich & Shameless" music video Archived 5 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu The Lost Boyz kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |