Laetitia Zonzambé
mwanamuziki kutoka Afrika ya kati
Laetitia Zonzambé anajulikana sana katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kama nyota wa muziki wa pop nchini humo. Maendeleo yake yamewezekana kwa kiwango kizuri kwa msaada wa Alliance Française na Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa . [1]
Nyimbo na muziki wake, unazingatia sana mambo ya tamaduni za Kiafrika zenye mvuto wa Ulaya na Karibea, umevutia hisia za mashabiki barani Afrika na nje ya bara la Afrika, haswa miongoni mwa Waafrika nchini Ufaransa. [2] [3]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Laetitia Zonzambé kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |