Lafey
Lafey ni mji mdogo wa kaunti ya Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 ulikuwa na wakazi 22,882[1].
Pia ni kata ya eneo bunge la Lafey[2].
Tanbihi
hariri- ↑ https://www.citypopulation.de/en/kenya/cities/
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lafey kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |