Lahadata

Katika utarakilishi, lahadata (kwa Kiingereza: datasheet) ni hati inayofanya muhtasari wa utendaji na sifa za bidhaa au mashine fulani.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).