Laila Soueif
ni mwanaharakati wa haki za binadamu na wanawake kutoka Misri, mhasibu na profesa katika Chuo Kikuu cha Cairo
Laila Soueif (alizaliwa 1956) ni mwanaharakati wa haki za binadamu na za wanawake kutokea Misri, mwanamahesabu na profesa katika chuo kikuu cha Kairo. Al Jazeera hupendelea kumuita mwanamapinduzi wa Misri.[1] Pia ni mjane wa mwanaharakati mwenzie aliyejulikana kama Ahmed Seif El-Islam.
Laila soueif | |
Amezaliwa | 1956 Cairo, Misri |
---|---|
Nchi | Misri |
Kazi yake | Mwanaharakati |
Mahusiano | mjane |
Marejeo
hariri- ↑ "An Egyptian revolutionary". www.aljazeera.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-04.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Laila Soueif kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |