Lalla Salma wa Moroko

Lalla Salma (Salma Bennani, amezaliwa 10 Mei 1978) ni Binti wa Kifalme wa Moroko. Ameolewa na Mfalme Mohammed VI, na mke wa kwanza wa mtawala wa Moroko kutambuliwa hadharani na kupewa cheo cha kifalme.

Lalla Salma wa Moroko
Nchi moroko

Kwa kuwa hajaonekana na vyombo vya habari tangu Desemba 2017, imedaiwa kuwa wanandoa hao wametalikiana. [1] 

Maisha ya mapema na elimu hariri

Salma Bennani alizaliwa huko Fez, ingawa baadhi ya vyanzo vinataja Marrakech kama mahali pake pa kuzaliwa. [2]

Marejeo hariri

  1. Brittani Barger (14 April 2018). "What's next for Princess Lalla Salma after rumoured divorce from the Moroccan King?".  Check date values in: |date= (help)
  2. "RWB" (kwa Kifaransa). Reporters sans frontières (Morocco)/VSD. 7 March 2002. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 December 2003. Iliwekwa mnamo 28 August 2015. yaume bruisse de l'événement à venir. Courant mars, sa majesté Mohammed VI se mariera. L'heureuse élue, Salma Bennani, est une jeune femme de 25 ans, native de Fès et issue de la haute bourgeoisie.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lalla Salma wa Moroko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.