Latjoor (jimbo)
Latjoor State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.
Latjoor State | |
Mahali pa Latjoor katika Sudan Kusini | |
South Sudan | Sudan Kusini |
---|---|
Makao makuu | Nasir |
Idadi ya kaunti | 9 |
Idadi ya manispaa | |
Serikali | |
- Gavana | Peter Lam Both |
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 534,440 |
Imegawanyika katika kaunti 9: Thorow County, Malow County, Thior County, Jokou County, Kajaak County, Nasir County, Ulang County, Maiwut County na Longechuk County.
Tanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Latjoor (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |