Laurina Oliveros (alizaliwa 10 Septemba 1993) ni mwanasoka wa nchini Argentina ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya wanawake ya Boca Juniors na timu ya taifa ya wanawake ya Argentina.

Laurina Oliveros

Maisha ya Awali hariri

Laurina aliishi Venice, Florida nchini Marekani kipindi akiwa mtoto.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laurina Oliveros kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.