Lawrence Kego Masha

(Elekezwa kutoka Lawrence Masha)
Makala hii kuhusu "Lawrence Kego Masha" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Lawrence Kego Masha (amezaliwa tar. 11 Machi, 1970) alikuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM. Alipata kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya ndani (2006-2008), Waziri wa Mambo ya Ndani (2008-2009), Naibu Waziri wa Nishati na Madini (2006-2006). Ameuangushwa na mmoja kati ya wagombe wa CHADEMA.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Mengi kuhusu Lawrence Kego Masha". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-01-18. Iliwekwa mnamo 2010-11-16.