Leah Williamson
mchezaji mpira wa miguu (alizaliwa mwaka 1997)
Leah Cathrine Williamson (alizaliwa 29 Machi 1997)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza anacheza katika klabu ya Arsenal ya Ligi Kuu ya Wanawake(WSL) na nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Uingereza. Mchezaji hodari,mara nyingi akicheza kama beki na pia mara chache kama kiungo.
Pia aliwakilisha timu ya taifa ya wanawake ya Uingereza kwenye Michezo ya Olimpiki mwaka wa 2021 akiwa nahodha wa Uingereza[2], na aliweza kuisaidia timu yake kutwaa taji la kwanza la kimataifa kwa wanawake, mnamo 2022, ambapo alijumuishwa katika timu ya waliofanya vizuri katika shindano hilo.[3]
Marejeo
hariri- ↑ "Leah Williamson-UEFA.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 4 Septemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Reynolds, Tom. "Leah Williamson: From gamble as captain to face of women's football", BBC Sport, 30 December 2022.
- ↑ Burhan, Asif. "Leah Williamson Confirmed As New Permanent Captain Of England Women's Soccer Team". Forbes. Iliwekwa mnamo 2022-12-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leah Williamson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |