Leave Me Alone

"Leave Me Alone" kilikuwa kibao cha nane kutolewa katika albamu ya msanii wa rekodi ya muziki Michael Jackson. Kibao hiki kinatoka katika albamu yake ya saba ya mwaka wa 1987, Bad. Kibao hiki kinaonekana katika toleo la CD la albamu kikiwa kama wimbo wa ziada kwenye albamu[1] na wala hakikutolewa kama single kwa nchini Marekani. Kibao hiki kiliwekwa kama moja ya sehemu ya filamu ya Jackson ya 1988 Moonwalker na kushika nafasi ya 1 nchini UK New Musical Express. Kibao hiki kilikuja kutolewa tena upya mnamo tar. 17 Aprili 2006 kikiwa kama moja ya sehemu ya seti ya Visionary: The Video Singles.

“Leave Me Alone”
“Leave Me Alone” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Bad
Imetolewa Januari 1989
Muundo CD single (haijatolewa nchini Marekani)
Imerekodiwa 1987
Aina Funk, R&B, Rock
Urefu 4:37
Studio Epic Records
Mtunzi Michael Jackson
Mtayarishaji Michael Jackson na Quincy Jones
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Smooth Criminal"
(1988)
"Leave Me Alone"
(1989)
"Liberian Girl"
(1989)

Orodha ya nyimboEdit

Toleo HalisiEdit

7" Single
  1. "Leave Me Alone" – 4:40
  2. "Human Nature" – 4:05
12" Single
  1. "Leave Me Alone" – 4:40
  2. "Human Nature" – 4:05
  3. "Don't Stop 'Til You Get Enough" – 6:04

Toleo la VisionaryEdit

Upande wa CD
  1. "Leave Me Alone" (toleo la albamu) - 4:40
  2. "Another Part of Me" (Meongozwa Urefu na Kumixiwa) - 6:18
Upande wa DVD
  1. "Leave Me Alone" (muziki wa video)

Michakaliko yake kwenye chatiEdit

Chati (1989) Nafasi
iliyoshika
Australian Singles Chart 37
Austrian Singles Chart 15
Dutch Top 40 5
French Singles Chart 17
Irish Singles Chart 1
Italian Singles Chart 8
Norwegian Singles Chart 6
Spanish Singles Chart 1
Swedish Singles Chart 19
Swiss Singles Chart 10
UK Singles Chart 2
Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
UK Singles Chart 66

MarejeoEdit

Viungo vya NjeEdit


  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leave Me Alone kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.