Smooth Criminal
"Smooth Criminal" ni jina la single ya saba ya msanii Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya Bad (1987). Wimbo huu unasikika kwa kasi, yaani, biti yake ni ya kuchangamka kidogo huku ikiwa inamwelezea Jackson akitoa mashairi yake yenye kumlenga mwanamama mmoja aliyeitwa Annie, amabye alivamiwa na wezi kwenye nyumba yake. Wimbo huu ulitolewa mnamo tar. 24 Oktoba 1988, ukiwa kama single na kuweza kushika nafasi ya 7 kwenye chati za Billboard Hot 100.[1] Wimbo huu ulikuja kutolewa tena mnamo tar. 10 Aprili katika mwaka wa 2006 ukiwa kama moja ya sehemu ya seti ya Visionary: The Video Singles. Toleo la single la Visionarylilishika nafasi ya 19 kwenye chati za UK. Mnamo mwaka wa 2003, wimbo umeonekana tena kwenye toleo la albamu ya nyimbo kali na mchanganiko za Michael, Number Ones.
“Smooth Criminal” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Bad | |||||
Imetolewa | 24 Oktoba 1988 | ||||
Muundo | 5" CD single 3" CD single 12" vinyl 7" single Cassette single | ||||
Imerekodiwa | 1987 | ||||
Aina | Funk, Dance-Pop | ||||
Urefu | Toleo la Albamu: 4:17 7" Version/Single Mix: 4:10 Extended Dance Mix: 7:48 | ||||
Studio | Epic | ||||
Mtunzi | Michael Jackson | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson na Quincy Jones | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
Michakaliko katika chati
haririChati (1988) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australian Singles Chart [2] | 29 |
Belgian Singles Chart | 1 |
Danish Singles Chart | 1 |
Dutch Top 40 [3] | 1 |
French Singles Chart | 4 |
German Singles Chart | 9 |
Irish Singles Chart | 4 |
Italian Singles Chart | 6 |
Israeli Singles Chart | 1 |
Spanish Singles Chart | 1 |
Swiss Singles Chart | 5[4] |
UK Singles Chart | 8 |
US Billboard Hot 100 | 7 |
Chati (2009) | Nafasi iliyoshika |
Australian ARIA Singles Chart | 16 |
Danish Singles Chart | 31 |
Irish Singles Chart | 14 |
New Zealand Singles Chart | 37 |
Swiss Singles Chart | 12[4] |
UK Singles Chart | 13 |
U.S. Billboard Hot Digital Songs[5] | 12 |
Muziki wa video
haririOrodha ya nyimbo
hariri- "Smooth Criminal" - 3:29
- "Orange Appeal" - 4:45
- "Denigrate" - 4:15
- "Smooth Criminal" (Video)
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-03-12. Iliwekwa mnamo 2009-07-23.
- ↑ "Smooth Criminal" at australian-charts.com
- ↑ "De Nederlandse Top 40, week 51, 1988". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-01-27. Iliwekwa mnamo 2008-03-27.
- ↑ 4.0 4.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-04. Iliwekwa mnamo 2009-07-23.
Viungo vya nje
hariri- Michael Jackson version (Sped-Up version)
- Alien Ant Farm - "Smooth Criminal": MTV Mask version
- Smooth Criminal video on Youtube
- Smooth Criminal lyrics
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Smooth Criminal kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |