Lee Hsien Loong (amezaliwa 10 Februari 1952) ni mwanasiasa wa Singapore ambaye ametumikia kama Waziri Mkuu wa 3 wa Singapore tangu Agosti 2004.

Lee ni mtoto wa kwanza wa waziri mkuu wa kwanza, Lee Kuan Yew.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lee Hsien Loong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.