Lehmber Singh
Lehmber Singh ni mwanariadha wa India ambaye alishinda medali ya fedha katika mbio za 4 × 100 za kupokezana vijiti na medali ya shaba katika mbio za mita 400 kuruka viunzi katika Michezo ya Asia ya Tehran ya mwaka 1974. [1][2][3]
Marejeo
hariri- ↑ "MEDAL WINNERS OF ASIAN GAMES". Athletics Federation of India. Iliwekwa mnamo 13 Julai 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Asian Recorder. 1977. Iliwekwa mnamo 14 Julai 2021.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ The Indian Police Journal. I. 1976.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lehmber Singh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |