Leila Ouahabi

Mchezaji wa chama cha soka cha Uhispania

Leila Ouahabi El Ouahabi (alizaliwa 22 Machi 1993)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uhispania ambaye anacheza kama beki wa kushoto wa klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Hispania.[2]

Ouahabi akiwa na Barcelona mnamo 2019

Marejeo

hariri
  1. Irigoyen, Juan I. (2017-03-29), "Leila: "En Marruecos igual no jugaría al fútbol"", El País (kwa Kihispania), ISSN 1134-6582, iliwekwa mnamo 2024-04-28
  2. https://www.mancity.com/news/womens/city-sign-leila-ouahabi-63790278
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leila Ouahabi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.