Lena Lattwein (alizaliwa Mei 2, 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya VfL Wolfsburg katika Ligi ya Frauen-Bundesliga pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya nchini Ujerumani[1].

Lena Lattwein


Marejeo hariri

  1. "Lena Lattwein wechselt zur TSG". TSG 1899 Hoffenheim. 2017-06-13. Iliwekwa mnamo 2018-11-12. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lena Lattwein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.