Leo Higdon
Leo Ignatius Higdon, Jr [1] ni msimamizi wa taaluma na Mtendaji wa zamani wa Wall Street. Awali alikuwa Mwenyekiti wa Chuo cha Connecticut kuanzia Julai 1, 2006 mpaka alipo staafu Desemba 31 2013), Charleston college kuanzia Oktoba 2001 hadi Juni 2006) na Chuo cha Babson.
Kutoka 1968 mpaka 1970, yeye na mkewe walihudumu kama watu wa kujitolea katika kikosi cha Amani nchini Malawi. Alipokea M.B.A. yake katika Chuo Kikuu cha Chicago.
Mnamo 1973 Higdon alifanya kazi kwenye benki ya kuekeza kampuni ya Salomon Brothers. Mwishowe alikuwa Mwenyekiti msaidizi na mkuu wa kampuni ya global investment banking division.
Ni mjumbe wa bodi ya wakurugenzi asasi za Association of American Colleges and Universities Eaton Vance Corporation, na HealthSouth Corporation
Marejeo
hariri- ↑ "Leo I. Higdon, Jr". Connecticut College (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-05.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leo Higdon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |