Leon Bourgeois
Léon Victor Auguste Bourgeois (21 Mei 1851 – 29 Septemba 1925) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Ufaransa. Kwa miezi michache alikuwa Waziri Mkuu 1895-96. Mwaka wa 1920 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leon Bourgeois kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |