Leoni Abo
mwandishi wa shuhuda zinazotoa mwanga juu ya kipindi cha ukoloni na uasi nchini Kongo-Zaire
Wassis Hortense Léonie Abo, (hujulikana pia kwa jina la Léonie Abo; amezaliwa mwaka 1945 nchini Kongo-Kinshasa) ni mwandishi wa ushuhuda inayoleta nuru kuhusu mambo yaliyotendeka wakati wa ukoloni katika Kongo-Zaïre tangu mwaka 1963 hadi mwaka 1968.
Yeye ni mjane wa Pierre Mulele. Ameishi sasa akiwa mkimbizi kwenye nchi ya Kongo-Brazzaville baada ya kifo cha mumewe.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leoni Abo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |