Leonio wa Poitiers

Leonio wa Poitiers (pia: Leonius, Lienne; aliishi nchini Ufaransa, karne ya 4) alikuwa padri rafiki wa Hilari wa Poitiers aliyemfuata uhamishoni huko Frigia (leo nchini Uturuki)[1].

Kikanisa chake huko La Roche-sur-Yon.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Februari[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.