Leonora Speyer (7 Novemba 187210 Februari 1956) alikuwa mpiga violini na mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1927 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Leonora Speyer alivyochorwa na John Singer Sargent, 1907
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leonora Speyer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.